Sera ya Faragha

Ukurasa huu unaeleza sera ya faragha ambayo inajumuhisha matumizi na ulinzi wa taarifa zinazo wasilishwa na wanaotembelelea tovuti yetu.Kama utaamua kutuma hoja au suala linalohitaji kufanyiwa kazi kwa kujiandikisha kwenye Mfumo wa kuwasilisha taarifa au  kwa kutumia baruapepe, taarifa za suala husika na taarifa  binafsi zinaweza kutumwa kwa Taasisi nyingine za Serikali kwa ajili ya kushughulikia suala husika na  kukuhudumia kwa ufanisi na kwa haraka zaidi. Lengo la kutuma taarifa hizo linaweza kuwa ni kupeleka suala lako kwenye ngazi za juu zaidi au Mamlaka yenye uwezo wa kulitatua suala hilo.

Utambuzi 

Tovuti yetu inaweza kutambua Mfumo au kutambua kifaa kilichotumika kuitembelea kwa mara ya kwanza ili kukupa urahisi wa kuitumia pale utakapokuwa ukiendelea kufungua kurasa mbalimbali. Aidha, haikusanyi taarifa binafsi na  utambuzi huo uharibiwa au kufutika pale tu utakapofunga Tovuti hii.

Ulinzi wa Taarifa

Technolojia zinazoongoza kwa sasa zikijumuisha utaalamu wa ufichaji wa taarifa kwa nia ya kulinda kila taarifa ambaoyo umetupatia zinatumika na viwango na ruhusa maalum hutumika ili kuzuia asiyeruhusiwa asizifikie wala kuzitumia.
 

Utunzaji wa taarifa zako

Pale ambapo umetuma taarifa zako kupitia tovuti hii, zitatunzwa katika hali ya usalama uliopo kwenye vifaa maalumu ambavyo vinatunzwa katika mazingira sahihi na salama kwa kutumia teknolojia za usalama.

Taarifa zinazokusanywa

Hakuna taarifa binafsi zinazokusanywa na sehemu nyingine yoyote kwenye tovuti kwa ajili ya kukutambua au zinazofanya ujulikane pale unapotembelea au kusoma kurasa mbalimbali isipokuwa taarifa ambazo umeamua kuzitoa kwetu kwa kutumia baruapepe au kwa kujaza fomu ya mawasiliano au fomu ya huduma  ambayo ni sehemu salama ya kuwasilisha taarifa zako kwenye tovuti hii.

Mabadiliko ya Sera hii

Ikiwa sera hii itafanyiwa marekebisho yoyote,yatawekwa kwenye ukurasa huu. Unashauriwa kutembelea ukurasa huu mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa unatambua mabadiliko hayo na kufahamu ni taarifa zipi zinakusanywa, zinavyotumika na kwa vigezo gani taarifa hizo huweza kutumwa kwa Taasisi nyingine.

Kuanza kutumika

Sera hii imeanza kutumika kuanzia Aprili, 2022,

Mwasiliano:

Bonyeza  HAPA kuwasiliana nasi