Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Mwl. Paulina Nkwama akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku nne ya usimamizi wa mashauri ya nidhamu na rufaa za walimu kwa Maafisa wa Tume tarehe 5 Mei, 2025 jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Tume ya Utumish...