• Staff Mail |
    • Contact us |
    • Complaints |
    • FAQ |
Teachers' Service Commission
Teachers' Service Commission

The United Republic of Tanzania President's Office Teachers' Service Commission

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
    • Functions
  • Services
    • Appoitment and Registration
    • Teachers Confirmation
    • Teachers Promotion
    • Recategorization
    • Teachers' Distribution Management
    • Management of Training Programs
    • Retirement Permit
    • Pension
  • Administration
    • Divisions
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
        • Administration
        • Human Resources Management
      • Teachers' Appoitment, Ethics and Development
        • Teachers' Appoitment, Ethics and Development
        • Ethics and Development
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Legal Services
      • Information, Communication Technology and Statistics
      • Government Communication
      • Procurement Management
      • Planning, Monitoring and Evaluation
      • Internal Audit
    • TSC Commissioners
    • TSC Management Team
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • TSC Districts
    • Arusha
      • Karatu
      • Arumeru
      • Arusha
      • Monduli
      • Longido
      • Ngorongoro
    • Dar es Salaam
      • Ilala
      • Kinondoni
      • Temeke
      • Ubungo
      • Kigamboni
    • Dodoma
      • Chamwino
      • Kondoa
      • Kongwa
      • Mpwapwa
      • Dodoma
      • Bahi
      • Chemba
    • Geita
      • Geita
      • Chato
      • Nyang'hwale
      • Mbogwe
      • Bukombe
    • Iringa
      • Mufindi
      • Iringa
      • Kilolo
    • Kagera
      • Bukoba
      • Karagwe
      • Muleba
      • Biharamulo
      • Ngara
      • Kyerwa
      • Missenyi
    • Katavi
      • Mpanda

Functions

Majukumu ya Tume ya Utumishi wa Walimu yameainishwa kwenye Kifungu Na. 5(i) – (xii) cha Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu Na. 25 ya Mwaka 2015 ambayo ni:-

  1. Kuendeleza na kusimamia Utumishi wa Walimu;

  2. Kumshauri Waziri juu ya kusimamia na kuendeleza Utumishi wa Walimu;

  3. Kuajiri, kupandisha vyeo na kuchukua hatua za kinidhamu kwa walimu;

  4. Kuhakikisha uwiano sawa katika usambazaji wa Walimu ndani ya Serikali za Mitaa na Shule;

  5. Kushughulikia masuala ya rufaa zinazotokana na maamuzi ya Mamlaka ya Nidhamu;

  6. Kutunza daftari la kumbukumbu za walimu wote waliopo kwenye Utumishi wa Umma;

  7. Kusimamia programu za mafunzo ya walimu kazini;

  8. Kufanya utafiti na tathmini kuhusu masuala yanayohusu Utumishi wa walimu na kumshauri Waziri inavyostahiki;

  9. Kutathmini hali ya Walimu na kushauri Wizara yenye dhamana ya masuala ya walimu juu ya mafunzo, idadi na uhitaji wa walimu nchini;

  10. Kuandaa Kanuni za Maadili ya Utendaji kazi ya mwalimu;

  11. Kuendeleza mfumo wa mawasiliano na Ofisi za Tume katika ngazi ya Wilaya juu ya mambo yote au jambo lolote kuhusiana na maendeleo ya Utumishi wa walimu na kuhakikisha kwamba Mwajiri na Ofisi ya Tume ngazi ya Wilaya wanatekeleza kazi zao kwa mujibu wa Sheria; na

  12. Kufanya jambo lolote ambalo kwa maoni ya Waziri linafaa au kutegemewa katika utekelezaji bora wa kazi za Tume.

Announcements

  • JARIDA LA TSC TOLEO LA KWANZA March 01, 2021
  • ORODHA YA WALIMU WALIOFARIKI KABLA YA TAREHE 1/7/2004 AMBAO WASIMAMMIZI WA MIRADHI YAO HAWAJAPATIKANA August 24, 2018
  • ORODHA YA BARUAPEPE ZA KAIMU KATIBU WASAIDIZI WA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU TANZANIA BARA September 13, 2018
  • ORODHA YA BARUAPEPE ZA WATUMISHI WA TSC January 04, 2019
  • View All

Latest News

  • TSC YAANZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA

    March 05, 2021
  • CHITAMA ATAKA UNUNUZI WA UMMA UZINGATIE MISINGI YA UADILIFU

    March 03, 2021
  • Kamati za TSC zatakiwa kutenda haki kwa Walimu

    February 08, 2021
  • TUME YA UTUMISHI WA WALIMU YAWAAGA WASTAFU WAKE

    January 28, 2021
  • View All

Video

TUME YA WALIMU YAO WALIMU KUHUSU VYETI FEKI
More Videos

Quick Links

  • WATUMISHI PORTAL
  • FACEBOOK

Related Links

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • OR MUUB
  • eGA
  • Habari

World visitors tracker

world map hits counter

Contact us

    Secretary PO-TSC

    Postal Address: P. o Box 353 DODOMA

    Telephone: +255 26 2322402

    Mobile:

    Email: secretary@tsc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Copyright ©2017 TSC . All rights reserved.