Mamlaka za rufaa katika Utumishi wa walimu
(Kif.13 (1) (2) (3)
1. Kamati ya Ajira na Nidhamu -Tume (ngazi ya Wilaya) (Kan.47(b))
Kupinga uamuzi wa;
- Wakuu wa shule
- Walimu wakuu
2. Tume (Makao makuu)
Kupinga uamuzi wa Tume ngazi ya Wilaya
3. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kupinga uamuzi wa Tume makao makuu
Secretary PO-TSC
Postal Address: P. o Box 353 DODOMA
Telephone: +255 26 2322402
Mobile:
Email: secretary@tsc.go.tz
Copyright ©2017 TSC . All rights reserved.