Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Prof. Masoud Hadi Muruke (mwenye kofia nyeupe), Katibu wa Tume Mwl. Paulina Nkwama (wa kwanza kuliwa) pamoja na wadau mbalimbali wa elimu wakiwa katika mazoezi ya kukimbia wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani tarehe 5 Oktoba, 2025 jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Utu...